John 11:25-26

25 aIsa akamwambia, “Mimi ndiye huo ufufuo na uzima. Yeye aniaminiye mimi, hata akifa atakuwa anaishi 26 bna yeyote aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je, unasadiki haya?”

Copyright information for SwhKC